Duration 6:52

Zoravo -Sauti ya Imani (Official lyric Video) [ SMS Skiza to 811]

57 768 watched
0
1.1 K
Published 10 Jul 2021

….Nimemwomba MUNGU kwamba Wimbo huu SAUTI YA IMANI ukawe ni Nguvu mpya,Uponyaji,hatua mpya,Urejesho na ukombozi ili Mtu mmoja Ajue yeye ni nani na ana nafasi gani katika Ufalme wa MUNGU…. ….Pia Wimbo huu ukawe ni Chanzo cha Kukua na kuongezeka katika IMANI ya mtu mmoja katika Jina La Yesu….. ….Unaposikiliza Wimbo Huu Amini kwamba MUNGU amekwisha Kufanya Jambo Jipya katika maisha yako…. SPECIAL THANKS 🙏🏾 -NAN WORLD 🌎 -Audio producer and Music arranger : JUSTINE RIDER -Bassist: BENJAMIN MAKOLOBELA -Lead Guitarist: NAHUM GEDION -Graphic designer : SP BRAND Na kwa watu wote mnaopeleka Injili pamoja namimi Ahsanteni sana….

Category

Show more

Comments - 195