Duration 20:56

MASANJA MKANDAMIZAJI ACHEKESHA WATU MSIBANI | MASANJA TV

158 976 watched
0
660
Published 12 Jul 2018

MASANJA MKANDAMIZAJI ACHEKESHA WATU MSIBANI | MASANJA TV SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates: 👇 👇 /channel/UCmKRCC5AXn1Hb0ClJx8iZ2w

Category

Show more

Comments - 78
  • @
    @fredricknduneh20186 years ago I do love your sermons. Be blessed pastor masanja. 2
  • @
    @barakmazigo89455 years ago Wachawi oyee, kama umeiskia hy masanja ameikandamiza gonga like. 2
  • @
    @joylimo66892 years ago Following from kenya nmeona mchungaji wangu chibinda.
  • @
    @bahatialex95246 years ago Ubarikiwe sana mtmishi wa mungu nikweli kabisa. 4
  • @
    @GloryJohn-nm5wo9 months ago Naona na mfiwa ancheka kasha sahau duu mung akupe nguv.
  • @
    @stevenlukumay55176 years ago Mchungaji masanja mkandamizaji mwanwane kandamiza gospel ya jesus haleluya mungu azidi kukulinda. 2
  • @
    @aidanmaganza52806 years ago Ahsante sana mchungaji emanuel, mwenyezi mungu akupe maisha marefu na utusaidie kuijua kweli. Nilikuwepo ktk msiba, ulisaidia wengi. 5
  • @
    @akutiboysolomon94186 years ago Hongera mtumishi kwa kazi njema, lazima kieleweke tu. 2
  • @
    @rehemabonza45295 years ago Mungu ni bariki nipate makaz dar, nije usali mito ya baraka, amen.
  • @
    @vicemedicalhealthcareoffic23116 years ago Umeokoka kwel hauna bwebwe na ulokole kwel big up 100% 5
  • @
    @mwakasamuelnyiro65596 years ago Amen. Nimebarikiwa sana na ujumbe wako mtumishi. More blessing.
  • @
    @saimonmgeta52396 years ago Hahahaa uwii
    eti un logecable generation.
    2
  • @
    @tumemanyema35235 years ago Nijambo jema kubadirika kumfuata yesu muweza wa yote.
  • @
    @mesozimkombozi4326 years ago Kweli masanja wew ni bonge la mchekeshaji kwa mara ya kwanza nimekuona mwaka 2005 kwenye tv ulikuwa umevaa kimasai na fimbo begani ukiwa unaongea kilugha . ...Expand 2
  • @
    @happygasper36956 years ago ubarikiwe mtumishi street pastor..
    walawi
    5
  • @
    @sophiamwakila33005 years ago Hapa kweli masanja ulihubiri ni kiburi tu watu hatubadiliki.
  • @
    @rosemarymashauri86286 years ago Eti kabeni mara mbili zaidi ya mwanzo ha. 5
  • @
    @eliyaleonard1376 years ago Hahahahahaaa. Nimeche mbavuzinauma eti wachawi oyee. 5
  • @
    @mwinjilisti.wayesu61966 years ago Calolini mushi kuokoka ni lazima usijidanganye kuokoka nikusema ukweli, upendi kukemewa dhambi nilazima ukemewe. 5
  • @
    @rosemarymashauri86286 years ago Ha jamani mahubiri mazuri tujitathimini. 4
  • @
    @carolinamushi55556 years ago Aliokoka ni huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila siku ya maisha . ...Expand 4
  • @
    @furahafedrick85016 years ago Carolina cyo lazima ukoment waachie waelewa wakoment.
  • @
    @mbwanalau576 years ago Upo vizuri mana napenda kukufatilia mchungaji barikiwa. 2
  • @
    @carolinamushi55556 years ago Aliokoka ni huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila siku ya maisha . ...Expand 1

    @carolinamushi55556 years ago Aliokoka ni huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila siku ya maisha . ...Expand 3
  • @
    @carolinamushi55556 years ago Aliokoka ni huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila siku ya maisha . ...Expand 2