Duration 3:14

Mradi wa umeme wa mto Rufiji Stiegler's Gorge kukamilika kwa wakati

13 543 watched
0
60
Published 4 Jul 2019

Serikali imewatoa hofu watanzania kuhusu kukamilika kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa Stiegler's gorge unaotarajiwa kukamilika uni mwaka 2022. Pamoja na hayo Tanesco imekanusha hatari ya kuathirika kwa wanyama kutokana na ujenzi wa mradi huo.

Category

Show more

Comments - 6