Tunakualika kushiriki ibada zetu Mlima wa Moto Mikocheni "B" hapa jijini dar es Salaam Tanzania kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. baada ya ibada utapata nafasi ya kuangalia watu wenye vipaji na pia utapata nafasi ya kuonyesha kipaji chako. Ibada zetu za Jumatano na Ijumaa zinaanza saa 9 alasiri kila wiki
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for KIPAJI HURU | Watu wana vipaji jamani Hebu muangalie huyu dada akicheza kwa maringo: