Duration 6:11

DIAMOND Balaa Shuhudia Akitua na Ndege Binafsi Wasafi Festival Sumbawanga

2 108 855 watched
0
5 K
Published 7 Dec 2018

DIAMOND Balaa! Shuhudia Akitua na Ndege Binafsi Wasafi Festival Sumbawanga KUFURU! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jeuri aliyoionesha Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kwa kutua na ndege binafsi huko Sumbawanga, ambapo anatarajia kufanya bonge moja la shoo ikiwa ni muendelezo wa tamasha la Wasafi Festival baada ya kuunguruma kwenye mikoa mitatu nchini. Diamond na wasanii wengine watakaopafomu kwenye tamasha hilo akiwemo, Rayvanny, Babu Tale, Queen Darleen, wametua kwenye uwanja wa ndege wa Sumbawanga na kupokelewa na mashabiki wao waliokuwa na shauku kubwa ya kutaka kumuona Diamond. #WASAFIFESTIVAL #NDEGEYAWCB Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK /watch/wGU4LG4 ...

Category

Show more

Comments - 429