@priscamchome17414 years agoThe song is dope bahari yetu urithi wetu. 1
@
@mizaalex56954 years agoCongratulations claudia..we r proud of you , Our heritage 2
@
@nikitatuo63603 years agoMary movie really made me cry today it' s my first time getting to know you, great music the sky is the limit bruh.
@
@festoernest66824 years agoMakinii damu yangu endeleeni kukiwashaa. 2
@
@abdimohamed39534 years agoNyimbo nzuri sana inafundisha kuelimisha na kuburudisha hongera Sana kemikali 2
@
@marthasiloni39133 years agoNimetokea kukupenda chemical kaz zako nzr.
@
@teammovietmdurbacinema82844 years agoKweli sauti yako ka tu miss sana chemi, nyimbo wapi mahabiki wanalia sana.
@
@shabanmkenga31544 years agoMwenye kiti chake karudi kaeni kitaalamuuu. 1
@
@ronaldoundoofficialmusicug93314 years agoCentano na chemical wakia pamoja ngoma hua kali basi achia like zao. 1
@
@oscarbrand23443 years agoCentano back again aise ninoma nakubali.
@
@leonardmbwambo5904 years agoChemical nina laki moja yako na centano. Just wanna support this good one. 1
@
@pinisto52204 years agoDa nakupendje dad yan da sijapendaga msanii wakike kama ww much love.
@
@samsonanthony72364 years agoMziki mkali, ila mwana tukumbushe sielewi, umizwa tena.
@
@seraphinepaultine16794 years agoChemical upo vzr dear pambn tunakusapot sanaa.
@
@simonanthonykayombo69133 years agoHeshima kwa mbunifu wa melodi ya chorus.
@
@lukasmathiusdsudi15104 years agoChemical asante my japo nimeckia saut yako.
@
@waziriramadhan25614 years agoYan napenda xana ngoma zako ukikaa kimya unapunguza chembechembe ya fraha yangu.
@
@leonardkorir84994 years agoAs always. Chemical is a beast. You are badder than most in tanzania.
@
@neemamabiki44964 years agoWe dada nyimbo zako huwa zinanikosha hatarii!
@
@sampalsa_Official4 years agoMy sister Chemical , unakipaji ki kubwa Sana ndani mwako , usikate tamaa kwenye Muziki , pambana tu utafikia Bado malengo yako , Big up sana kwa kazj nzuri Yanguaga mwaka wetu wa 2020 .....Expand3
@
@manchestercitybettartv59224 years agoWe dada nakukibali sana tangu niko secondary uwa bakutafuta sijui ntakutoa wapi napenda michano yako usiache mziki.
@
@justinjoshua10594 years agoUmerudi tena kwenye music? Siulisema unaacha. That is good son ila stop kuingea uwongo.
@
@sampalsa_Official4 years agoMy sister Chemical , unakipaji ki kubwa Sana ndani mwako , usikate tamaa kwenye Muziki , pambana tu utafikia Bado malengo yako , Big up sana kwa kazj nzuri Yanguaga mwaka wetu wa 2020 .....Expand3
Related videos for Chemical x Centano x Honest - Bahari Yetu (Official Video):
kaz zako nzr.
Big up sana kwa kazj nzuri
Yanguaga mwaka wetu wa 2020 .. ...Expand 3
Big up sana kwa kazj nzuri
Yanguaga mwaka wetu wa 2020 .. ...Expand 3