Duration 26:26

Kushoto Kulia - Behind The Scene - Part 4

60 282 watched
0
1.2 K
Published 7 Dec 2019

For Bookings contact : harmonizemanagement@yahoo.com Follow Harmonize on: Twitter : http://www.twitter.com/harmonize_tz Facebook : http://www.facebook.com/harmonize_tz Instagram : http://www.instagram.com/harmonize_tz Copyright ©2020 KONDE MUSIC WORLDWIDE .All rights reserved.

Category

Show more

Comments - 108
  • @
    @yuppamungudamalie7255 years ago This guy is too much, much love harmonize.
  • @
    @shuslimdadyo47185 years ago Fst view piga like apo kwa konde gang. 14
  • @
    @kulwaboniphace57285 years ago Hakuna kama jeshi tanzania ktk industry ya mziik respect you!
  • @
    @batistahassan64915 years ago Dah bro umefanya araka kutoa behind ungesubir kidogo. 5
  • @
    @ameeraaljassim41385 years ago Waso kupenda kazi wanayo nakutakia kazinzuri mmakonde mwenzangu from kenya. 2
  • @
    @florarwegasila94845 years ago Me bado nataka uongezee juhudi kuwaonesha walotabiri kuanguka kwako.all de best mjeshiiii gang 4 everybody 1
  • @
    @ramadhankasim11205 years ago Jaman kwan like mnapikia mboga au mana mnaziomba kwer au mki like wa cm inakua aiishi bando. 2
  • @
    @mussakiziyzi4085 years ago Kudadek
    kaz tuu, from konde gang master
    unawanyoosha sio mchezo.
  • @
    @eddyjuniortz22345 years ago Wasiokupenda wanaumwa tena ugonjwa usiojulikana. 2
  • @
    @ramadhanyusuph23245 years ago Kushuti kumbe kunakazi sana kuna vitu lazima viwepo kweli kumbe mi nilifikilia vyote ni vya kuediti. 1
  • @
    @goodluckaugustino54865 years ago Kazi nzur mwanangu sema usje tuangusha tunakuhaminia sana.
  • @
    @PreciousErnest5 years ago Kama unakubali jeshi.
    weka like.
    41
  • @
    @deogratiusmtei15145 years ago Hilo ndo jeshi mwanamme inatakiwa uwe na maamuzi magu kama huyu mshkaji huwezi fananisha na taka yoyote pale wcb wote waliobakia ni wavaa vikuku na kuimba . ...Expand
  • @
    @maulidrehani5 years ago Wana waliolala km maiti wametisha kinyama by the way konde uko juu dogo. 2
  • @
    @salmasaid24015 years ago Ndugu . yani.ipo.vizuri sana kali kama hii.naiangalia kila siku kila dakika ee wacha tu upo.juu.ila ujiongeze tupate.video.nyengine kali.zaid ya hii.umewachapa ndugu.yangu.mungu.akusimamiee walai.vile .. ...Expand 2
  • @
    @bantushine65785 years ago Nani kaona cheni la harmoniz libya la mwaka 2020. 4
  • @
    @jandaboytzzjandaboytzz76485 years ago Tatizo nassib kakupa ujanja wote yani kakufundisha vyote. 6
  • @
    @samuelmwaipopo13025 years ago Zile scene za vifua wazi jua lilikuwa kali sana limeharibu picha.
  • @
    @madukaj.j.69995 years ago Mimi sijui sielewi huwa sipendi sana kuzitoa hizi behind the scene maana huwa zinaharibu uhondo. 1
  • @
    @hushbtz33105 years ago Jeshi ni jeshi2 Gusa link Kaupo na jeshi
  • @
    @jaymaahvoice29665 years ago My name salim konde namba yangu ilijibroke naomba niunge freemason 0673429696.
  • @
    @fabiolafabulauwimana40205 years ago Hamuna camaajabu apo mbona scne za kanyaga na baba laoo ndo zimetumika apo hamuna kia kabisaaa ume copie scne za diamond kama zote. 2
  • @
    @noonelike63825 years ago Mm ni wa 7 kulike na 2 kukoment na kuvew. Konde boy nipe zawadi yangu 0766020066. 1
  • @
    @deogratiusmtei15145 years ago Hilo ndo jeshi mwanamme inatakiwa uwe na maamuzi magu kama huyu mshkaji huwezi fananisha na taka yoyote pale wcb wote waliobakia ni wavaa vikuku na kuimba . ...Expand
  • @
    @salmasaid24015 years ago Ndugu . yani.ipo.vizuri sana kali kama hii.naiangalia kila siku kila dakika ee wacha tu upo.juu.ila ujiongeze tupate.video.nyengine kali.zaid ya hii.umewachapa ndugu.yangu.mungu.akusimamiee walai.vile .. ...Expand 2