Duration 12:14

AIC DAR ES SALAAM CHOIR - KALE NILITEMBEA (OfficialVideo)

110 678 watched
0
478
Published 29 Mar 2020

AIC DAR ES SALAAM CHOIR tunapenda kukukaribisha kuupokea wimbo wa Kale Nilitembea. Ni matumaini yetu wimbo huu utafanyika baraka kwa maisha yako, pia ni maombi yetu kupitia wimbo huu ukapate faraja na ukafanyike kuwa maombi yako kila siku. MUNGU akubariki, Amen! #kalenilitembea #WastahiliSifaMungu #WastahiliHeshimaBWANA

Category

Show more

Comments - 85