hii ni film ambayo imetoka siku moja tu kabla ya kifo cha mzee wetu. pia imeshutiwa wiki mbili tu kabla ya kifo cha baba yetu .
hivyo kampuni ya mwemanga film chini ya c.e.o wake karim mwaluvanda inasikitika kwa taarifa ya kifo hichi pia imepata pigo kubwa.
allah akuweke mahala pema peponi.
pia inatoa pole kwa familia ya marehemu na wadau wote wa tasnia ya filamu tanzania