Duration 2:46

KUJIGONGA GONGA KWA NURUDINI KISHKI | SHEIKH ABDALLAH HUMAID

19 810 watched
0
150
Published 23 Jan 2021

kishki hakuwa salafi alikuwa anawabaraguza watu kuwa yeye ni salafi sasa akamatika

Category

Show more

Comments - 146
  • @
    @bongotrends29873 years ago Maa Shaa Allah..... Sheikh kishk yupo sawa kwani kukosea ndio Ukamilifu wa Kila mwanadamu.... Mtume kasema kila mwanadamu ni mkosefu na si vizuri kuwaumbua wanazuoni mtandaoni huu sio Uislamu unatuaibisha ulamaa wetu 8
  • @
    @abdallahmoussa6143 years ago Sheikh Abdallah Humeid na wangine ma Sheikh woote ambawo walinganiya katika njiya sahihi Allaah awape umri wakheri ndani yake ili mzidi kutuilimisha kwayale tulikuwa hatujuwi apo kabla mana tulikuwa tukipelekwa pelekwa nama Hizbiyya.... Khawarij, sufi... lakini mashaa Allah kwa sasa twanza kuona mbali na kujuwa mengi kupitiya ma Sheikh wetu wapendwa wa kisalafi ... 14
  • @
    @jesmirmohamed34672 years ago ingekua vizuri nyinyi mashekhe muende kwa vijiji mwangalie uislam ulivyo na si kukosowana kafanyeni da'awa vijijini ndio na mtembee si kukosowana 5
  • @
    @husnamohamed94483 years ago Mimi nauliza kuna maswali matatu twaambiwa tutaulizwa kaburini.Moja ya swali tutakaloulizwa ni ipi dini yako wala hutaulizwa lipi kundi lako.Mimi namuunga mkono kishki mimi pia sina kundi kabisaaaa najua uislam tu ndio dini yangu ... 6
  • @
    @aljalilatiba98733 years ago MBONA HAMUFATI MTU,E MUHAMMAD NA MASWAHABA WALIKUWA NI WATU WA VITA KUTETEA DINI KWA UPANGA?? DHIDI YA MAADUI
    HADI KUPATA DOLA YA KIISLAMU
    6
  • @
    @thetravelquestservices3 years ago Bwana AbuAzhar...kazi ya edit isikuweke pabaya..nilikua nikiifanya na najua unachofanya...vizuri ufanye Da'wah yako kipekee ndugu yangu. Kua tofauti na wote.. 4
  • @
    @SubaRajabu3 weeks ago Shekhe wetu Abdalla Humedi endelea kufikisha dawatu salaf na ndyo dawa aliyo kuja na mtume wetu Muhammed
  • @
    @bahamadiali50493 years ago Madhehebu yetu ni quruani na hadithi za mtume za sa hihi 9
  • @
    @chimbaboytv29373 years ago Namuunga mkono kishki ww huna hoja, tupe dhehebu LA mtume n maswahaba zake 7
  • @
    @cassimoa92172 years ago Wewe sheikh mbona unapenda kutumia mitandao kuwasemea vibaya masheikh wenzako? Kwani wewe umekamilika na elimu zaidi ya wote hao? Wallah sikupendi kwa tabia yako hiyo mbaya . Unarudisha nyuma na kuwakatisha watu tamaa ktk dini. Hayo ndio mafundisho ya mtume? Unawafurahisha maadui wa uislamu ... 5
  • @
    @amenakenya79933 years ago Ma shaaa Allah
    Ma shaa Alllah
    Ma shaaa Allah
    Shrikh wangu humeid Allah akuifdhi na akujalue subr na akupe umri mzeeeeefu uzidi kutuelimiya na kuwachambuwa mashekh kma hao ma shaa Allah
    Allah akuifdhi mm nakupenda sanaaa kwajil ya Allah Allahuma amiyn
    ...
    4
  • @
    @hamenyimanasalum72895 months ago Uyu jama dini imemshinda ahelewi tupo nyakati gani leta fikra kupeleka dini kwenye next level acha pirika
  • @
    @rashidkhalifa353 years ago Ujinga tu madhehebu ni kitu gani ? We are all Muslim only . tumeambiwa tuwe wamoja hatujaambiwa tugawane vijundi . 12
  • @
    @miramboofficial9462 years ago we shehe haujamuelewa unakurupuka hakuna waja wema waliopita hata 1 walikuwa wanapondana kama wew na wenzako aya umepata faida gani sasa zaidi ya kupata dhambi na mungu amesema kufeni hali ya kuwa waislam hakusema kefeni hali ya kuwa masalfi ...
  • @
    @abuushaymaatzkajoki71072 years ago Baaraka Allah fiyka wa jazaka Allah khayran sheikh kazi yenu ni kubwa na ni nuru ktk hii ardhi biidhinillah, watu tulikuwa twadanganywa Sanaa humu mitandaoni but kwa hivi twaelewa haqi iko wapi. Mimi nasemaga Sina mashikamano na mtu yyte isipokuwa haq ...
  • @
    @aljalilatiba98733 years ago IKIWA MUNAWAFATA WEMA WALOPITA WAFATENI KISAWA SAWA MSIPINDISHE 2
  • @
    @swahibually17233 years ago Lakini Kishki kasema mwenyewe Dhehebu lake,mbona sasa anasema hakuna madhehebu,mhh!! mnaanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe sasa,mlikua mnawaita tabligh KUA ni makafiri,leo mwasema ndio wanaomfuata Mtume?الحق يعلو ولا يعلى عليه.Mtanyoosha tuu maelezo,muda wa kuwa mnawapotosha watu,mtanyooka mmoja na mtaendelea kugawana mpaka mfike yale makundi 73 aliyoyasema Mtume s.a.w. ... 3
  • @
    @ahmedmalick28623 years ago Kishki yuko sahihi nyie wengin mnatafut kiki tuu 12
  • @
    @husnamohamed94483 years ago Hizi nguvu munazotumia kukosoa wenzenu mimi naona mungetafuta kazi mukafanya na malipo ya hiyo kazi mukatoa sadaka naona ingefaa zaidi 4
  • @
    @adnaankhanbhai7057last month Kishk kachanganyikiwa maana ana ropoka asivyo vijua
  • @
    @noshadiomani495210 months ago Mtume ndo kalingania hivyo jamani kuwatukana watu hata km ni ukweli ndio huo fikironi vizuri tuache ushabiki jamani hii dini
  • @
    @jengajuma88253 years ago Yani nyinyi waalimu wasasa mna tuchanganya sana kwanza mmekosa hekma na busara piya amna yani sijui mnatupeleka wapi zehebu katika uislamu alina na fasi 2
  • @
    @maryamabdallah31402 years ago Itaqillah masheikh zetu...wacheni kutia ikhtilafu kwenye safu za waumini wa kiislam.... Ogopeni moto, Moto ambao Kuni zake ni wanaadamu na mawe...mcheni Allah jamani ... 1
  • @
    @lukmanomar11382 years ago Nyiemasalaf sijui atamwataka vp makundi hayafaaai sisi hatuwafuati nyinyi masalafii wagombanishi 1
  • @
    @bebisheni43802 years ago Dini yako mwislam mtume wako muhamadi Hadi waalimu walio kufundisha 1
  • @
    @salehal-oufy5380last year Je hao wanaojifanansha na wema waliopita (Salafun swalih) ni kweli wanamatendo ya Salaf utaona ni ujanja na mbinu ili kuwateka vijana wanaoinukia na watuwazma waliokuwa hawakusoma udogoni 1
  • @
    @mootelahamongus6332 years ago Masalafi feki, Mnajificha tu kwenye dini lakini kikubwa kinachowasumbua ni Husda tu. 1
  • @
    @suleimanmussa32122 years ago Hhhhhhhhh kishki kwa mbwembwe t na wanja yuko vzr lakn chengne skioni...!
  • @
    @abilugome74613 years ago Ifikie kipindi tueshimiane Kama waislam sio kila wakati sio kila wakati wa kukosoana mashekh 1
  • @
    @mauldabdalah21682 years ago Shekh achaujinga wa kishamba umekosa darsa au mada yakufundisha mpaka unakua fisadi 1
  • @
    @Ukhtyzuhura2 years ago Enzi ya wema walio tangulia
    Hawakuwa na madhehebu
    1
  • @
    @abusalam77742 years ago Ahsantum ya Abdallah Humeid kwa kuweka mambo wazi nakupenda kwa hilo hawa mashekhe mashehena huwa wanataka kujaza audio zao au video clip ili wauze lakn hakna faida yoyote humo ndani uwongo mtupu na kigeogeo
  • @
    @mariammohd35153 years ago Mashehe wasasa wengi mashoga hapa kuna kosa hani acheni ushoga kuna mambo tele yakusema mnapigana mafumbo kama mabaradhuli bwana acheni izo
  • @
    @zohoraramadan45403 years ago Naomba kujua mtume wenu ni dhahabu gani 1
  • @
    @deathrow80043 years ago WATAFANANA VIPI NA MTUME WAKATI HAWANA ILIM? 3
  • @
    @MohamedAhmed-yi1yf3 years ago Wacheni kuumbuawana waislam katika mitandao nyie wote ni madaai mnamakosa mengi 2
  • @
    @bushcar92543 years ago Bokisi kweli kishk hamna kitu Mimi namuona Kama vile chupa tupa isiyo kuwa nakitu anatapa tapa hata haeleweki 2
  • @
    @khamisptrany93932 years ago Hawakutani masalafi wawili ila moja atamkufurisha mwenzake
    Ikiwa hiyo ndio hali ya masalafi baina yao, sasa je kwa wengine?
  • @
    @amosmoses78003 years ago #
    SHEKH KISHIKI NA GENGE LAKE AKIWEMO SHEHE SHAFI. KIPOZEO. MAZINGE. MUSA.
    NI KATIKA MASHEHE WANAFIKI. WANAOWRASIFIYA NA WANAOJIPENDEKEZA KWA MIOUNGU YAO AMBAO NI VIONGOZI WA DOLA
    YUPO NA YULE SHEHE YUSUF ABDI KULE KENYA.
    MASHEHE WA MATUMBO NA DUNIA
    ...
  • @
    @Wastara0013 years ago Abdalla Humeid usichoke kaka. Allah akupe nguvu. 1
  • @
    @abuusaalimalmasasiyyu94213 years ago Kaz kweel kishk hajui mising ya sunna wallah kwa sabab hoja zake hazina utofaut na za wale ambao hawajapitia darsa 2
  • @
    @yussufilyassa30113 years ago Mbona mnagombana nyinyi kwa nyinyi sasa!? Maana yake nn?
  • @
    @aljalilatiba98733 years ago KWANI UISLAM UNA DHEHEBU
    MTIHANI KWELI ??
    1
  • @
    @abdulhussein98163 years ago Madhehebu yapo kama ukoo ama kabila xaxa ww na ujnga wako unampinga mjinga mwenzio
  • @
    @fadhiliswalehe92863 years ago Nurdin kishk kapinda hajui misingi ya dawah salafiyah hana historia ya kusoma dini mwa maulamaa wa sunnah 2
  • @
    @legend98052 years ago Huyu sheikhe uwa kazi yake ni raddi basi. Badalaa atowe mawaidha waislamu wapate faida. Hafanyi hivyo kazi yake kusema masheikhe
  • @
    @dulaseif50012 years ago KISHKI YUPO SAWA MANENO YAKE ASIYEMFAHAMU NI JUHA
  • @
    @aishasaid59763 years ago Ss kwani ww shekhe unateseka nini ww upo mkimuwinda ww sema unachoona kinafaa kwani mpk upitie kwa shekhe kishiki ila 2 umkosoe unanini ww kama mnaona mpo sahihi baas endeleeni na usahihi wenu lkn muacheni shekhe kishiki wetu bongo tunasema mkomeni lol kishiki kishi hilo jina mlimpa nyie pumbavu kbs ...