Duration 8:20

AfDB KUWEKEZA MABILIONI YA DOLA TANZANIA

245 watched
0
1
Published 27 Apr 2018

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina, amefurahishwa na kasi ya maendeleo ya Tanzania chini ya Utawala wa Rais Dkt. John Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itatoa dola za Marekani bilioni 1.5 ili kufadhili miradi ya umeme, maji, kilimo na miundombinu ya barabara

Category

Show more

Comments - 0