Duration 4:59

Jinsi ya kupika bajia za dengu tamu sana na kwa urahisi sana

28 019 watched
0
249
Published 31 May 2021

nimetumia unga wa dengu vikombe 2 chumvi nusu kijiko majani ya dania nusu kikombe kitunguu maji 1 kitunguu saumu na tangawizi mbichi kijiko 1 beking powder nusu kijiko pilipili mbichi 2 pilipili boga kipande na maji kiasi

Category

Show more

Comments - 26