Duration 5:9

Watu Wanazikwa Usiku I Takwimu za Corona I Maoni ya Upinzani Wizara ya Afya

51 793 watched
0
325
Published 30 Apr 2020

“Tunaitaka Serikali kuendelea kutoa taarifa sahihi na kwa wakati kwa umma wa Watanzania bila kificho kwani janga hili la mlipuko wa Corona sio ilani wala sera ya chama chochote cha siasa kwa hiyo uwepo wake sio udhaifu wa ilani bali ni janga la dunia ambalo mikakati ya kulikabili ifanyike kwa uwazi na kwa kushirikisha wadau mbalimbali” Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu bajeti ya wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2020/2021 #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Category

Show more

Comments - 119
  • @
    @linnusaloyce65594 years ago Ongera sn mama yetu kiukweli mjomba hapa kachemka wakati huu apunguze siasa kwenye mambo muhimu yenye ulazima wa maisha ya watu wote uhuru wa habari uwepo 1
  • @
    @russianmulki68904 years ago Toeni mbinu sio kuleta siasa kwenye janga La dunia na haina haja ya kukosoa ili kujisafisha Bali toa maoni wew 3
  • @
    @zanuramaulid96614 years ago Tunaomba jmn serekal isitufiche kutwambia ukweli maana watanzania tunaangamia tuambiaeni ukweli ili tuchukue tahathar zaid sahiv kila mtu utakaye sikia amekufa ni korona inamaana hakuna magonjwa mengine watu hawapatiwi vipimo kwann wanaenda kuzika to bila kujua mrehem alijua na tatizo gan inamaana sahiv maleria haiui pamoja na magonjwa mengine ndugu zetu wanakufa tunashindwa kuwazika wanazikwa na manispaa kweli jmn ...
  • @
    @nolanraphael85024 years ago Uyu ni mmbunge wawqpi jamn nimempemda snaaaa 1
  • @
    @righton194 years ago Jamn dudu baya yuko wapiiiii?????? Sijamskia anawatolea povu kuhusu corona
  • @
    @chuination4 years ago Corona IPO na Inaua ukijua jilinde mwenyewe
  • @
    @friminamkenda74054 years ago Jilindeni jamani wenyewe watanzania tusianze kutupiana lawama
  • @
    @omaryshafii11744 years ago Nimemkumba dube pale aliposema, " Not every black man is my brother, Not every white man is my enemy " No truth in this world.. nakumbuka mbali sana... 3
  • @
    @festomollely43824 years ago Watuambie ukweliiii tunaona watyu wanaanguka ovyo 1
  • @
    @nikiflavour38844 years ago Tangazeni watu wajue kwa nini mnaficha?au mnazani mkificha ndyo sahihi?Mimi naona muwe2 wakweli,msituone wa Tanzania atujielewi bana 1
  • @
    @yaletbweye55654 years ago Twambieni chakufanya,mtusaidie msilalamike2 1
  • @
    @elibarikimasawe96594 years ago Dada umeongea ukweli adi nime kupenda jamani tuwe wakweli 3
  • @
    @shijamandwa10544 years ago Yani muheshimiwa umenifurahisha Sana unaongea point awo wangine wanaongea pumba maana ata serikar amtusamini bongo du sio poa
  • @
    @harmonizeeetz64614 years ago JONIJOO AFUNGUKA CHANZO CHA KUTOKA WASAFI BOFYA HAPA KUSOMA ZAID ...
  • @
    @alexj63574 years ago Waache kuficha, na kwendelea kutuweka gizani ilihali ugonjwa umesambaa na wengi wameambukizwa 5
  • @
    @nolanraphael85024 years ago Sirikalii yetuuu ovyoooo jamn inaumaaaa 2
  • @
    @emanuelleopod39494 years ago Hii ya kuzika watu Usiku me nimeisikia leo ilinibidi niduwae kwanza sikuamini niliyasikia walah
  • @
    @fransicsamson1064 years ago Jamaa kajificha katutelekeza.yaani kila mmoja anaongea lake.tujifukize mala ookujifukiza kuna madhala malaoo balakoa msitumie sasa hii nyinyiem inafanya nini madalakani?Ni kweli mama waambie waache kuficha wanatupoteza boya
  • @
    @anatolshirima36884 years ago Umenena na ni hoja nzuri ili watu waone umuhimu wa kujikinga na corona 2
  • @
    @jumasaidi81574 years ago Taarifa zinatolewa ila upinzani wa nchi hii mpaka wasikie kiongozi wa ccm anaumwa corona.bila hivyo hawaelewi
  • @
    @shairansuleiman62964 years ago Kama hujaona watu wanavozikwa uck nenda Instagram ya mangekimambi utaona watu wanavozikwa uck 1
  • @
    @erodeshayo86724 years ago Tuwaache ww ulimbukeni gani Sasa ww ulitaka asome Nani kwahiyo tulieni afanye kazi yake 4
  • @
    @msafiri854 years ago Upinzani wa Tanzania ni wa matukio...lets say Serikali iseme idadi ya vifo 4000 itabadilisha nini?? Hatuna wapinzani wa maana huyu mbuge anatoa mashairi na ngojera tu badala ya kuhamasisha watu wazidishe tahadhari. Kuzika usiku ni moja ya njia muafaka kupunguza maambukizi. Tuneona Marekani watu wanazikwa kaburi la pamoja (mass graves) acheni siasa za unoko. MAGUFULI atashinda tu oktoba hata myanyeje ...
  • @
    @abdalasalimu89864 years ago Ukijua utawarudisha achen ujinga mtu anaongea pumba
  • @
    @tinyaanosiatha11184 years ago Eti wanaona kwenye mitandao . Mbunge mzima na akili yake eti anafuata maneno ya mitandao. Ama kweli kazi ipo . Wabunge kama hawa hawafai Hata kuwa viongozi.
  • @
    @karyori694 years ago Ulimbukeni bwana? mbona hujavaa mask wewe mwenyewe? 3
  • @
    @ramadhaniabdi95304 years ago Katika kipind ambacho tumejuta kua na rais huyu wa sasa ni wakat huu 5
  • @
    @tinyaanosiatha11184 years ago Hivi nyie chadema kama chama kikuu cha upinzani mmesaindia nini serikari . Mbona mnatafuta kiki kwenye hili korona. Mnachokijua ni kutoa hoja ambazo hazina hata maana. Badara ya kusema chadema tumetoa vifaa vya korona Vya milioni moja kwa mkoa dar.
    Leo mnaanza kubeza serikari. Nyie mmewafanyia nini watanzania Kama siyo porojo tu.
    ...