Duration 1:1

VURUGU ZIMEIBUKA KATIKA OFISI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM) WILAYA YA DODOMA

599 watched
0
2
Published 26 Aug 2020

Vurugu zimeibuka katika ofisi za Chama cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Dodoma baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai kuwa majina ya Wagombea Udiwani yaliyopitishwa yamebadilishwa bila sababu za msingi katika baadhi ya kata za Wilaya ya hiyo. • Katibu wa CCM kata ya Ipagala, Minudi Daniel akajikuta katika wakati mgumu baada ya kutoka nje ya ofisi hizo kwa lengo la kuwafafanulia wanachama wake kinachoendelea, baadaye Polisi walikuja na kutuliza ghasia hizo.. video nzima ipo Youtube ya millardayo.

Category

Show more

Comments - 0