Duration 5:8

Kanuni za Uwekezaji-The Richest Man in Babylon

323 watched
0
7
Published 23 Jul 2020

Video hii inahusu kitabu kinachoitwa The Richest man in Babylon,ndani ya hicho kitabu kulikua na mtu aitwae Arkad ambaye alikua ni tajiri kuliko mtu yeyote mji mzima.Kitabu hichi kinaelezea historia ya Arkad ambae pale mwanzo alikua ni mfinyanzi maskini,alikuja kugundua kanuni 5 za uwekezaji ambazo ni; 1. Kutunza asilimia 10 ya kipato chako. 2. Kudhibiti matumizi. 3. Kukuza hela yako. 4. Kulinda hela yako. 5. Kuwa muangalifu wa fursa za kujenga hela. Hizi kanuni tano ndo zilimfanya Arkad awe tajiri pale Babylonia

Category

Show more

Comments - 0