Duration 4:3

DED Mpimbwe awafunda Wajasiriamali//Lengo tuondoe lile daraja la umasikini

78 watched
0
2
Published 8 Jul 2021

#NEWS Mkurungenzi Mtendaji Halimashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoani Katavi Bi.Catherine Mashala amewaasa wanaochukua Mikopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake,Vijana na Watu wenye Ulemavu kuanzisha Miradi yenye tija ili kufikia malengo yao. Wito huo ameutoa wakati akizungumza na Site Tv Ofisini kwake,ikiwa ni utekelezaji wa kila Halmashauri kuhakikisha inatenga Asilimia 10 kwa ajili ya Mikopo isiyo na riba kwa Vijana,Wanawake na Watu wenye Ulemavu. Bi.Mashala amesema kama Halmashauri wamejiwekea malengo ya kuhakikisha wanatoa Asilimia 10 ya Mapato ya ndani kwa Vikundi vinavyokidhi vigezo ikiwemo kuwapatia mafunzo ya kuwajengea uwezo ili kuhakikisha Wanawakwamua Wananchi kutoka katika lindi la umasikini. #SiteNews #TukutaneSite #TukutaneKazini

Category

Show more

Comments - 0