Duration 3:22

CHAZ BABA AILILIA AFRIKA BAMBATAA YA CLOUDS FM

673 watched
0
4
Published 23 Mar 2018

Katika mkutano wa wanamuziki wa dansi uliofanyika Vijana Social Hall, Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 14/3/2018 msanii Chaz Baba alizungumza juu kipindi cha Afrika Bambataa kilichokuwa kinarushwa na Clouds FM miaka ya nyuma

Category

Show more

Comments - 0